galaxy

n (pl -xies) 1 kundi la nyota. the G ~ n kundi la nyota na sayari ikiwemo yetu. 2 kundi la watu mashuhuri/wazuri. galactic adj (astron) -a galaksi, -a falaki kubwa angani.