gain

n ongezeko la mali/uwezo/nguvu; chumo, pato; faida. ill-gotten ~s faida/pato lisilo halali a ~ in wealth ongezeko la utajiri a ~ in strength ongezeko la nguvu. gainful adj -a pato, -enye kuzalisha mali/fedha. gainfully adv -kwa manufaa, kwa faida. vt,vi 1 pata; chuma; ongeza ~ experience pata uzoefu ~ weight nenepa ~ wealth chuma mali. ~ ground piga hatua. ~ time chelewesha kwa hila kwa manufaa yako, vuta muda, pata muda zaidi wa kufanya jambo baada ya kuchelewa. ~ the upper hand shinda. 2 ~ (from) faidi he ~ed a lot from his trip alifaidi sana kutokana na safari yake. 3 (of a watch or clock) -enda haraka, kimbia our clock ~s four minutes a day saa yetu hukimbia dakika nne kwa siku. 4 ~ on/upon karibiana na, sogelea, pita, fika mbele kabla/mbele ya; enda kasi kuliko; (of the sea) momonyoa ardhi. 5 fika mahali (baada ya juhudi). gainings n (pl) tija; pato; ushindi.