gag

n 1 kifaa cha kuweka mdomoni (ili kinywa kikae wazi). 2 maneno anayoongezewa mtu na mwigizaji, ufaraguzi wa ziada. 3 kichekesho, hadithi ya kuchekesha. vt,vi 1 tiakifaa (tambara, pamba n.k.) kinywani; nyamazisha; (fig) nyima uhuru wa kujieleza/kusema. 2 ingizia maneno, semea. 3 (colloq) tapika (kiuongo).