gadfly

n 1 nzi (anayeuma ng'ombe/ farasi), pange. 2 mtu anayeudhi wengine makusudi kwa chokochoko na uchokozi, mtu mwenye gubu.