fuzz

n 1 sufi, (kitu) timtimu. 2 the ~ n (US) (sl) polisi. fuzzy adj 1 timtimu, -enye kutuna na kujifumba; -liofunikwa na nywele za kipilipili. 2 (of image) -sio dhahiri, -siobainika au kutambulika sawasawa. fuzziness n.