future

adj -a baadaye, -takaokuja the ~ life ahera, kesho. n 1 wakati ujao. for the ~ kwa siku za baadaye. 2 mategemeo ya baadaye this job has no ~ kazi hii haina mategemeo. in ~ tangu leo, hapo baadaye. 3 (pl) (comm) bidhaa zilizonunuliwa lakini zitakazolipwa baadaye. futureless adj -isio na mafanikio baadaye. futurism n usasa: falsafa na mtindo wa sanaa unaokwenda na wakati/upingao mambo ya zamani na ya mapokeo. futurist n msanii wa tapo la kilele. futuristic adj. futurity n (pl) futurities wakati ujao, matukio ya baadaye.