fur

n 1 manyoya (ya mnyama), nywele ndogondogo. make the ~ fly fanya fujo. ~ and feather n wanyama na ndege wa manyoya. 2 ngozi ya wanyama yenye manyoya (hasa iliyotengenezwa nguo) (attrib) a ~ coat koti la manyoya. 3 utando (ukoga, uchafu) wa ulimi. furry adj -enye manyoya; -enye utando. furrier n mwuzaji/mtengenezaji ngozi za manyoya.