funk

n (colloq) 1 hofu kuu, wogamkubwa be in a ~ ogopa sana. 2 mwoga. ~-hole n handaki; mbinu za kuepea kulitumikia jeshi. v,vi 1 ogopa, onyesha woga; kwepa/ shindwa (kwa woga) we ~ ed telling him the truth tulikwepa/shindwa kumwambia ukweli. funky adj (US sl) (of music) -enye hisia na mdundo.