adj~ (to) -a asili; -amsingi; -a muhimu n msingi; asili; kanuni. the ~sn misingi na kanuni. fundamentallyadv. fundamentalismn hifadhi ya misingi ya dini ya Kikristo, ulokole. fundamentalistn mfuasi wa misingi ya kale ya dini ya Kikristo religious ~ists waumini wakereketwa.