fund

n 1 (of commonsense/humour/ amusing stories) hazina a ~ of funny stories hazina ya hadithi za kufurahisha. 2 (often pl) mfuko wa fedha, hazina (kwa makusudi maalum). school ~s n mfuko wa shule. public ~s n mfuko wa serekali; fedha ya serikali. reserve ~s n mfuko wa akiba. ~ raising n kuchangisha fedha. no ~s n taarifa (ya benki) kuwa mwandika hundi hana fedha kwenye akaunti yake. vt 1 fadhili, gharimia. 2 (fin) badili deni la muda mfupi kuwa la muda mrefu kwa riba maalum.