function

n 1 shughuli, kazi ~s of marketing shughuli za mauzo. 2 (ceremony) tamasha, adhimisho. 3 (maths) namba tegemezi. 4 kazi. vt fanya kazi; faa; shughulika the telephone is not ~ing simu haifanyi kazi. functional adj -a kufaa kazi; -enye kuathiri/inayohusu kazi; -a kutenda; -a kazi maalum. ~al head n kiongozi mtendaji. functionalism n utenzi, utendaji: kanuni/nadharia inayodai kuwa kazi ya kitu itawale muundo na vifaa vyake. functionalist n. functionary n (pl ~ ries) (often derog) mtendaji (wa shughuli za kiofisi), mtenzi mrasimu.