fume

n (US pl) 1 harufu kali ya moshi; mvuke mzito, fukizo. 2 (liter) hangaiko, kiherehere. 3 hasira, ghadhabu. vt,vi 1 ~ (at) toa mvuke; fuka moshi pass away in ~s kasirika; (fig) foka, onyesha hasira, kasirika. 2 (of wood, etc) tia moshi, fukiza. fumigate vt fukiza, tia buhuri ~ tomato plants fukiza miche ya nyanya. fumigation n ufukizaji. fumigator n.