1adj 1 ~ (of) -liojaa; tele. ~ up pomoni; (colloq)(from excessive eating) -liovimbiwa. 2 ~ of -liokaa akilini, -a kushughulisha/kufikiria mno she was ~ of a trip safari ilimkaa sana akilini he is ~ of himself anajipenda, anajivuna. 3 nene, kibonge, tipwatipwa a girl with a ~ figure msichana tipwatipwa, -liojaa. 4 (of clothes) pana, -a kuvalika kwa urahisi. 5 -nayofikia kiwango kinachohitajika; -enye kukomaa; -zima. 6 kamili. 7 (phrases and compounds)at ~ speed kwa kasi zote. in ~ kikamilifu. in ~ career -lio katika upeo wa maendeleo. to the ~ kwa ukamilifu. ~ backn(in football) mlinzi, beki. ~ bloodedadj shababi, -enye nguvu na uchangamfu; menyu. ~ blownadj(of flowers) -liochanua. ~ boardn (in a hotel) -enye kutoa malazi na chakula. ~ dressn vazi rasmi ~-dress rehearsal zoezi lenye mavazi rasmi. ~ faceadj uso kwa uso, uelekeano wa ana kwa ana. ~ fashionedadj(trade use, of garments) -a kupima, -liotengenezwa kwa kufuata gimba. ~ fledgedadj (of a bird) -enye kuweza kuruka; (fig) -liokubuhu, -liotopea. ~ grownadj -liokomaa. ~ housen kujaa kabisa. ~ lengthadj(of a portrait) -zima, -nayoonyesha -ote; -a urefu wa kawaida. ~ marksn(pl) alama zote. ~ moonn mwezi mchimbu/mpevu. ~ pagen ukurasa mzima. ~ scaleadj(of drawings, plans etc) -a kipimo sawa na kitu chenyewe; halisi; (colloq) kamili. ~ stopn nukta, kituo kikubwa. come to a ~ stop simama kabisa. ~ timen kamili adj -a kudumu, -a muda wote. ~ time workern mtumishi wa kudumu. fullyadv 1 kwa ukamilifu; kabisa. 2 angalau. fullnessn. in the ~ness of time kwa wakati uliopangwa/ tegemewa; mwishowe.