fruit

n 1 tunda. ~ cake n keki ya matunda. ~ fly n nzi-tunda ~ fritter (s) n kaimati ya tunda. ~ salad n saladi ya matunda. the ~s of the earth mazao ya ardhi. (fig often pl) faida. 2 mafanikio; matokeo. 3 ~-machine n (GB colloq) mashine (ya kuchezesha kamari ya sarafu). fruiterer n muuza matunda. fruitful adj -a kuzaa matunda; -a faida; (fig) -enye matokeo mazuri. fruitfully adv. fruitfulness n. fruitless adj bure, -sio na matunda; (fig) -sio na mafanikio. fruitlessly adv. ~le(s)sness n. fruity adj 1 -a kama tunda. 2 (colloq) -a kuchekesha (agh kwa mambo ya ngono). 3 (colloq) kali, zito He has a ~y voice ana sauti nzito. fruition n 1 kufaulu; kupevuka. 2 kuzaa matunda; kupata mafanikio.