frost

n 1 jalidi. frost-bite n ugonjwa wakuganda tishu kwa jalidi. frost-bitten adj -enye ugonjwa wa jalidi. frost-bound adj (of the ground) -enye jalidi. 2 theluji nyembamba. 3 (colloq) jambo lisilofanikiwa. vt,vi 1 gandisha; (of cake) ikiza. 2 ua, haribu mimea kwa jalidi. 3 fifisha kioo kisione. 4 ~ (over/up) funika kwa theluji, jalidi. frosting n kuikiza. frosty adj 1 -a baridi kali. 2 (fig) -sio kunjufu; baridi. frostily adv. frostiness n.