front

n 1 the ~ mbele; upande ulio muhimu. ~ page news n habari muhimu (ziwekwazo ukurasa wa kwanza wa gazeti). (be) in the ~ rank (fig) -wa mashuhuri; julikana. ~ runner n anayeongoza; (in elections etc) -enye kuelekea kushinda. come to the ~ (fig) jitokeza; julikana, fahamika. in ~ adv mbele. in ~ of prep mbele ya. 2 (war) medani, uwanja. (fig) domestic ~ n (colloq) nyumbani. 3 barabara ya ufukoni/ pwani. 4 have the ~ (to do something) -wa juvi, thubutu (kwa ubaya). put on/show/ present a bold ~ kabili jambo kwa ujasiri. 5 (shirt) ~ n kifua. 6 (theatre) ukumbi. 7 (met) mpaka baina ya tungamo hewa ya baridi na ya uvuguvugu. 8 (poet, rhet) paji, uso. 9 kiongozi au kikundi cha watu kinachoficha njama za mtu fulani. 10 (polit.) umoja. vt,vi 1 tazama; elekea the hotel ~s the ocean hoteli inaelekea bahari. 2 (old use) kabili, pinga. frontage n 1 upande wa mbele wa (nyumba, shamba). 2 upande unaoelekea barabarani (njiani n.k.). frontal adj -a mbele ~ al attack shambulio la ana kwa ana, pigo la usoni. n mbele. ier n 1 mpaka ~disputes ugomvi wa mpaka. ~ier(s) man n mtu wa mpakani; mwanzilishi wa makazi karibu na mpaka. 2 (fig) kikomo; mpaka (kati ya yanayofahamika na yasiyofahamika). frontispiece n picha ya mwanzo kitabuni.