frog

frog

1 n chura. have ~ in the throat koroma. frogman n mpiga mbizi. ~ march vt chukua (mfungwa) kifudifudi kwa kushikwa na watu wanne; sukuma mtu mbele (kwa kushika mikono yake nyuma). froggy adj.

frog

2 n ala, kipande cha ukanda cha kuchomeka upanga au singe.