frivol

vt,vi 1 fanya upuuzi, shughulika na mambo yasiyo na maana. 2 ~ away one's time/money poteza wakati/fedha kipuuzi. frivolous adj 1 -a kipuuzi. 2 (of persons) -sio na makini; -enye kupenda anasa; puuzi. frivolity n 1 upuuzi. 2 (pl) maneno/ mambo yasiyo na maana. ~ly adj.