fresh

adj 1 -bichi; -pya ~ milk maziwa mabichi. freshman n mwanafunzi mpya wa chuo kikuu. 2 (of food) -siotiwa chumvi; -siotiwa kwenye kopo/kugandishwa; (of water) -baridi; -sio ya bahari ~ water fish samaki wa maji baridi. 3 -pya au tofauti. break ~ ground (fig) anza kitu kipya; pata habari mpya. 4 (of air, wind, weather) safi; baridi; mwanana. ~ breeze/wind n upepo mwanana. 5 -enye afya; -a nguvu; -a kupendeza a ~ complexion sura ya kupendeza (ionyeshayo afya). 6 (US colloq) safihi, fyosi adv. (in hyphened compounds) sasa hivi ~-caught fish samaki aliyevuliwa sasa hivi. freshly adv (only with pp, without hyphen) sasa hivi ~ly picked tomatoes nyanya zilizochumwa sasa hivi. fresher n see freshman. freshness n. freshen vi,vt 1 burudika; tia/pata nguvu. 2 zidi, kazana the breeze ~ened upepo ulizidi. freshet n kijito kidogo.