fresco

n 1 fresko: uchoraji wa sanamu ukutani (wakati chokaa/lipu ingali mbichi). 2 picha/sanamu iliyochorwa namna hiyo. vt chora sanamu kwa namna hiyo.