frequent

vt enda (mahali) mara kwa mara; -wa/onekana (mahali) mara kwa mara/kwa kawaida frogs ~ wet place vyura kwa kawaida huonekana mahali penye unyevunyevu adj -a mara nyingi; -a mara kwa mara, -a kawaida. frequently adv. frequency n 1 marudio, kufanyika mara kwa mara. 2 idadi ya marudio frequency meter kipimo cha idadi ya marudio.