n 1 (nauli ya) uchukuzi wa mizigo. 2 shehena, mizigo. ~ linern meli ya mizigo. ~ trainn(US) treni ya mizigo. vt~ with pakia mizigo (melini); peleka/chukua mizigo. freightern meli/ndege ya mizigo. Frenchadj -a Kifaransa; -a Wafaransa; -a Ufaransa. take ~ leave jiondokea bila kutoa taarifa au kuruhusiwa. ~ chalkn jasi. ~ fresh dressingn masala ya mafuta na siki. ~ friesn (plseechipsn); ~ hornn tarumbeta sikio. ~ windown dirisha kubwa (liwezalo kutumika kama mlango). n Kifaransa. the ~n Wafaransa. ~ man/womann Mfaransa. ~ kissn kufyonzana ulimi. ~ lettern mpira, kondomu.