freemason

n mwanachama wa chama cha siri cha kusaidiana. Freemasonry n 1 mfumo wa chama hicho. 2 kuoneana huruma na kusaidiana baina ya watu wenye kazi moja na wa jinsi moja.