n 1 kituko,kioja,shauri tendo/jambo lisilo la kawaida. 2 (also~ of nature) mtu/mnyama au mmea usio wa kawaida (k.m. mbuzi mwenye miguu mitano); dubwana, dubwasha. vi,vt(sl)~ out -wa na mhemko, pandwa na mori (kama vile kutokana na madawa ya kulevya). ~ outn hali ya kupoteza akili kwa sababu ya madawa ya kulevya. freakishadj -a kioja. freakishlyadv. freakishnessn. freakyadj.