1adj -a kusema kweli, -a kusema wazi/bila kuficha be quite ~ sema kweli, sema wazi. franklyadv. franknessn. frank2vt weka stempu au alama; gonga barua kuonyesha kuwa gharama ya usafirishaji imeshalipiwa. ~ing machinen mashine inayoweka bei ya stempu.