franchise

n 1 the ~ n haki kamili za uraia zinazotolewa na nchi au mji, (hasa haki ya kupiga kura kwenye uchaguzi). 2 (chiefly US) haki maalum inayotolewa na utawala kwa mtu au kampuni.