n, adj namba 4 (nne) a child of ~mtoto wa miaka minne on all ~s kwa kutambaa. be on all ~s with -wa sawasawa na. ~- figuredadj a namba 1000-9999. ~ letter wordn tusi. ~ foldadj mara nne. four-in-handn gari la farasi wanne (US colloq) tai ya shingoni. four-partadj -lioimbwa na sauti nne. fourpenceadj mapeni manne. four-plyadj -enye tabaka nne. four-postern kitanda chenye miti ya chandarua, pazia n.k. ~-poundern mzinga utupao risasi za ratili nne. ~ scoreadj,n themanini; -a themanini; korija nne. foursomen 1 mchezo wa wachezaji wanne. 2 watu wanne. foursquareadj -enye umbo mraba; (fig) -nyofu. fourteenn,adj kumi na nne, -a kumi na nne; fourteenthn; adj -a kumi na nne kumi na nne. one ~teenthn moja ya kumi na nne. fourthlyadv nne. four-wayadj -enye njia nne. ~wheeladj -enye magurudumu manne. ~ wheel driveadj -enye kuendeshwa kwa magurudumu yote manne.