n 1 (poet) chemchemi. 2 (poet or rhet) chanzo, asili. 3 (alsofont)(printing) fonti (seti ya herufi za aina fulani). fountainn 1 chemchemi (agh. iliyojengwa kwa kutumia bomba. drinking- ~ainn mashine/ chemchemi ya maji baridi ya kunywa. ~ainpenn kalamu ya wino. 2 (fig) chanzo, asili. 3 (of burst pipe etc) mbubujiko. fountainheadn chanzo, asili.