2vt 1 weka msingi wa, anzisha. 2 fadhili ili kianzishwe ~ a new institute fadhili taasisi mpya. 3 ~ something on/upon weka juu ya misingi ya a story ~ed on facts hadithi inayotokana na ukweli. foundationn 1 uanzishaji (wa shule, mji, taasisi n.k.). 2 kitu kilichoanzishwa (k.m. taasisi, shirika, chuo, hospitali n.k.). 3 mfuko wa fedha kwa ajili ya kutoa misaada. 4 (often pl.) msingi wa jengo. ~ation stonen jiwe la msingi. 5 kanuni/msingi wa jambo, imani n.k. 6 ~ation creamn krimu ya usoni (inayotangulia kupakwa kabla ya vipodozi vingine). ~er/ ~ressn mwanzilishi, mwasisi.
found
3vt yeyusha madini na kuimimina ndani ya kalibu. foundryn kalibu; kiwanda cha kukalibu madini (cha mhunzi).