forward

adj 1 -a mbele, -a kutangulia; -a kuendeleza/kuelekea mbele. 2 (of plants, crops, seasons, children) -liostawi, -liokua, -nayoendelea vizuri. 3 -a kimbelembele. 4 -enye shauku. 5 (of opinions etc) -a mbele ya wakati. 6 (comm) -a kutumika baadaye ~ prices bei za kutumika baadaye. n (in games) fowadi. forwardness n. vt 1 himiza/sukuma mbele (mambo, kazi n.k.). 2 peleka; safirisha; tuma, (mizigo, barua n.k.) ~ goods to somebody pelekea mtu mizigo ~ my letters to the new station peleka barua zangu kwenye kituo kipya (cha kazi). ~ing agent n wakala wa usafirishaji mizigo. ~ing instructions n maagizo ya ufikishaji/usafirishaji mizigo. ~(s) adv 1 mbele, kwa mbele go ~ sogea, nenda mbele. 2 kwa kuendelea mbele from this day ~ kuanzia leo na kuendelea. look ~ to something ngojea/tarajia/tegemea kwa furaha. bring ~ onyesha. come ~ jitolea, jionyesha. 3 backward(s) and ~s mbele na nyuma.