fortnight

n wiki mbili, siku kumi na nne ~'s rest mapumziko ya majuma mawili this day a ~ wiki mbili kuanzia leo. fortnightly adj,adv -a wiki mbili; kila wiki mbili.