fortify

vt 1 ~ (against) imarisha(mahali) dhidi ya mashambulizi (kwa kuta, mahandaki, bunduki). 2 (of a person) jikinga na (baridi, maadui n.k.), jiimarisha. fortification n 1 kuimarisha, kutia nguvu. 2 kitu kinachoimarisha. 3 (pl) ngome.