formula

n 1 virai vinavyotumika sana kwenye mazungumzo, k.m. how d'you do ? uhali gani? excuse me samahani thank you asante. 2 fomyula, k.m. H2 0 (maji); 0 oksijeni. formulate vt eleza kwa usahihi na kueleweka; unda/eleza kwa utaratibu. formulation n.