fork
n 1 uma. ~ lunch/supper bufe n (mlo wa watu wengi). 2 (for gardening) rato. 3 (of roads) njia panda. 4 ~-lift truck n foko. vt,vi 1 inua, beba kwa foko ~ in manure chimbia mbolea kwa reki/rato. 2 (of a road, river) gawanyika, fanya mikondo/mikono katika, (of persons) geuka (kushoto au kulia). 3 ~ something out; ~ up/out (colloq) lipa. forked adj -enye kugawanyika sehemu mbili au zaidi; -a uzandiki.