1n 1 karakana ya kulehemu na kufua vyuma. 2 karakana yenye kalibu. vt 1 unda kwa kulehemu na kuponda kwa nyundo (fig)their friendship was ~d by shared adversity urafiki wao ulitokana na matatizo yaliyowapata kwa pamoja. 2 buni, ghushi. forgern mdanganyifu, mbini. forgeryn 1 ubuni, ughushi, udanganyifu. 2 hati au maandishi yaliyobuniwa/ghushiwa. forgingn kipande cha metali kilicholehemiwa au kupondwa.