forfeit

vt 1 poteza, twaliwa, nyanganywa (kwa adhabu ya kosa). 2 toa haka. n 1 haka, fidia; faini. 2 (pl) mchezo ambao mchezaji hutoa vitu kadha kwa kufanya makosa na kurudishiwa kwa kutoa faini ya kichekesho. forfeiture n utwaliwaji wa mali kama haka, usabiliaji.