foreign

adj 1 -geni, -a kigeni, -a nchi za nje. ~ affairs n mambo ya nchi za nje. 2 ~ to -siohusu; -sio -ake a ~ body in the eye kitu kilichoingia jichoni (k.m. uchafu) ~ languages lugha za kigeni. foreigner n mgeni anayeishi katika nchi.