adj(attrib only) -a mbele, -a kutangulia, -a omo. to the ~ tayari kufanya jambo; papo hapo; maarufu. come to the ~ -wa maarufu adv(naut) mbele. ~ and aft tezini na omoni; kwa urefu wa meli ~ and aft sail tanga lisilo mraba interj(golf) oha! (tamko la kutahadharisha walio mbele kuwa mchezaji anataka kupiga mpira). forearmn kigasha, mkono (tangu kiko mpaka kitanga). forearmvt(usu passive) -pa silaha kabla/ mapema; weka tayari (kwa vita). forebodevt(formal) 1 -wa dalili ya. 2 agua, bashiri. forebodingn ubashiri. forecastvt tabiri n utabiri the weather ~ utabiri wa hali ya hewa. forecastlen(in some merchant ships) sitaha ya gubeti. foreclosevt,vi~close (on)leg) chukua mali ya mkopaji aliyeshindwa kulipa kwa wakati uliokubaliwa. foreclosuren. forecourtn baraza (iliyojengewa) mbele ya nyumba. foredoomvt (usu passive) ~doom (to) panga kwa kudra, an attempt ~doomed to failure jaribio lililopangiwa kushindwa. forefather n (usu pl) mhenga. ~-feetnseeforefoot. forefingern kidole cha shahada. forefootn mguu wa mbele wa mnyama cross a ship's ~foot kata njia ya meli. ~- frontn 1 sehemu ya mbele kabisa. 2 (mil) mstari wa mbele. foregatherviseeforgather. foregroundn 1 mbele, sehemu ya mandhari (hasa kwenye picha) iliyo karibu ya mtazamaji. 2 (fig) mahali penye kuonekana vizuri. foreheadn paji la uso a broad ~head bapa la uso. a projecting ~head komo la uso. ~ knowledgen kujua kitu kabla hakijatokea. forelandn rasi. forelegn mguu wa mbele (wa mnyama). foremastn(naut) mlingoti wa mbele. foremostadj -a mbele, -a kwanza; -kuu adv. kwanza; muhimu. first and ~most kwanza kabisa. forenamen(as used in official style) jina la kwanza (sio la ukoo). foreordainvt amuru mbele; teua kabla. forerunnern 1 mtangulizi, mtakadamu. 2 dalili/ ishara ya mambo yatakayotokea. foresailn(naut) tanga kuu la mbele. foreseevt ona mbele; jua ya mbele/yajayo. foreseeableadj -enye kutabirika. ~seeable futuren kipindi cha karibuni ambacho matokeo yake yanatabirika. foresightn uwezo wa kutabiri; uangalifu katika kujitayarisha kwa mambo ya baadaye; busara ya kuganga yajayo. foretasten. limbuko. foreshowvt tabiri, onyesha dalili ya mwonjo wa awali a ~ showof suffering mwonjo wa kwanza wa mateso. foretellvt agua, tabiri, bashiri ~tell somebody's success tabiri ushindi wa fulani. forethought n mawazo/mipango ya busara kwa faida ya baadaye; kuona mbali. foretimen(arch) nyakati za zamani; zama za kale. foretokenvt toa dalili/ ishara ya; onya mapema. n ishara/dalili ya yajayo. foretoldpt pp of ~tell.forewarnvt onya (asa, kanya) mapema. foregovtseeforgo.