force

n 1 kani, nguvu the ~ of a blow nguvu ya pigo by sheer ~ kwa nguvu tu. in ~ (usu of people) kwa wingi. in full ~ kwa nguvu zote. 2 (energy) bidii, juhudi, jitihada. join ~s with unganisha nguvu/juhudi. 3 (violence) jeuri, dhulumu. 4 by ~ kwa nguvu/mashauri ya nguvu. 5 the ~ n polisi. 6 (pl) forces n majeshi. join the ~s jiunga na jeshi. 7 (gram) maana, what is the ~ of `for' here? `for' ina maana gani hapa? 8 (leg) amri, sharti, nguvu. be in ~ tumika. put a law into ~ fanya sheria itumike. vt 1 lazimisha; shurutisha, vunja/pasua kwa nguvu. ~ a fore person's hand shurutisha mtu kufanya kitu. ~an entry ingia kwa nguvu. ~ landing n kutua kwa dharura. ~ land vt,vi tua kwa dharura. 2 (fasten growth) komaza mmea haraka (kwa kutumia joto n.k.); (fig) ~ a pupil fanya mwanafunzi ajifunze kwa muda mfupi kwa kumpa masomo ya ziada. 3 fanya jambo kwa kujilazimisha ~ a laugh cheka kwa kujilazimisha (wakati mtu hana furaha). force-feed vt (~-fed) lazimisha (mnyama, mfungwa, mgonjwa) kula au kunywa. forceful adj (of person, his character, of argument) 1 -enye nguvu; -enye kani. 2 -a kujitokeza; -a maana. forcefully adv. forcefulness n. ~ majeure n (leg) jambo lisilozuilika; nguvu kubwa. force-meat n kima (nyama iliyokatwakatwa au kusagwa na kutiwa viungo, hutumika k.m. kujazia kuku kabla ya kumpika). forcemeat balls n kababu. forcible adj 1 -liofanywa kwa nguvu. forcible entry n kuingia kwa nguvu. 2 (of a person, his acts words etc) -enye kuvuta, -enye kushawishi. forcibly adv.