1n 1 mpumbavu. be a ~ for one's pains fanya jambo lisilokuletea pato wala shukurani. be/live in a ~'s paradise -wa na furaha ya kipumbavu isiyodumu. be sent/go on a ~s errand tumwa/fanya jambo lisilo na faida. make a ~ of somebody danganya, ghilibu mtu; mfanye mtu aonekane mpumbavu. play the ~ jifanye mpumbavu. There is no ~ like an old ~(prov) mzee mpumbavu ndiye mpumbavu hasa. 2 (in the Middle Ages) mchekeshaji (aliyeajiriwa na mtawala au muungwana). 3 April ~n mtu aliyedanganywa kwenye sikukuu ya wapumbavu (yaani tarehe 1 Aprili). All F~s' Dayn Sikukuu ya Wapumbavu. 4 (used attrib, colloq) mpumbavu. vi,vt 1 ~(about/around) -wa kama mpumbavu, chezacheza stop ~ing (about!) acha upuuzi. 2 ~something (out of something) danganya. fooleryn tabia ya kipumbavu; matendo/ mawazo/matamshi ya kipumbavu. ~-hardyadj jasiri mno/pasibusara; -a kujihatarisha bure. ~-hardinessn ujasiri (bila busara) wa kipumbavu. foolishadj pumbavu. ~ ishtalkn upuuzi he is ~ish hana akili. foolishlyadv. foolishnessn. foolproofadj -sio na hitilafu.
fool
2n aina ya chakula kitamu (kinachotengenezwa kwa matunda na malai au faluda).