fond

adj 1 (pred only) be ~ of penda. 2 -enye upendo a ~ mother mama mwenye upendo. 3 -nayopenda mno (hadi kuwa -jinga). 4 -a ndoto, matumaini, matarajio ambayo uwezekano wake wa kutimizika ni mdogo sana. fondly adv 1 kwa upendo. 2 kwa matumaini ya kijinga. ~ness n upendo.