foment

vt 1 kanda/chua kwa dawa/majimoto. 2 (excite) (fig) chochea; chokoza. fomentation n 1 majimoto/ dawa ya kukanda/kuchua. 2 (instigation) uchochezi; uchokozi.