n 1 watu kwa jumla. 2 (incompounds)~ dancen ngoma ya jadi. folkloren elimu ya mila na desturi za jamii fulani, sanaa (ya) jadi. ~medicinen madawa ya kienyeji, mitishamba. ~-musicn muziki wa jadi. ~ talen ngano, hadithi. 3 (pl) (colloq) ndugu wa familia moja, jamaa my old ~s at home ndugu zangu wa nyumbani. folksyadj (colloq) cheshi; kunjufu.