foliage

n majani (ya mmea). foliaceous adj 1 -a jani, -enye viungo kama jani. 2 -enye tabaka nyembamba. foliar adj (bot) -a jani -enye kufanana na majani. foliate vt chanua adj -enye umbo la jani. foliation n.