fold

fold

1 vt,vi 1 kunja, pinda. 2 (the arms) ~ one's arms kunja mikono/ kumbatia; ~ somebody to one's breast kumbatia; kunjamana, jikunjakunja. ~ (up) (fig) kumbatia mtu kifuani. 3 kunjikana; (colloq) filisika, shindwa kibiashara. 4 funga; kunja; funika. 5 changanya; koroga n kunjo, kibonde; (of man's loin cloth used as a pocket) kibindo. ~ mountain n mlima kunjamano. folder n 1 folda (kifuko cha karatasi ngumu cha kubebea karatasi). 2 kijitabu cha matangazo, ratiba n.k., brosha.

fold

2 n 1 zizi, boma la mifugo. 2 (fig) kundi la waumini. return to the ~ rejea katika kundi la waumini nyumbani.