foil

foil

1 n 1 jaribosi. 2 mtu/kitu kinacho dhihirisha uzuri/ubora wa kingine kwa kuvilinganisha.

foil

2 n kitara kisicho na ncha kali (cha kufanyia mazoezi, kuchezea).

foil

3 vt zuia; kwamisha.