n kijusi. foetal; fetaladj. fogn 1 ukungu, mavunde, kungugu be in a ~(fig) -toelewa -tojua, chaganyikiwa. ~-bankn ukungu mzito juu ya bahari. ~-boundadj -sioweza kuendelea na safari kwa sababu ya ukungu. ~hornn parapanda ya kutangaza hatari ya ukungu baharini. ~ signaln ishara ya ukungu relini. 2 hali ya ukunguukungu kwenye picha au filamu. vt,vi funikwa; funika na ukungu; (fig) changanya, pumbaza. ~gyadj 1 -enye ukungu. 2 (fig) -sioelewa/jua I haven't the ~giest idea sina hata fununu. ~ginessn.