focus

n 1 fokasi, kitovu: mahali miale ya nuru au moto ikutanapo; mahali kitu kionekanapo vizuri zaidi kwa macho. out of ~ -enye mauzauza. 2 kiini, mahali penye jambo hasa. vt ~ (on) 1 weka fokasi, lenga. 2 ~ on lenga, sisitiza. focal adj -a fokasi, -lio kwenye fokasi; -liolenga. focal-plane n 1 eneo la kutazamia. 2 (shutter) pazia la fokasi.