foam

n 1 povu, ukafu. 2 (also~-rubber) sponji (agh. hutengenezea matakia, magodoro n.k.). bath ~ n sabuni itowayo povu inayotiwa katika maji ya kuoga. vi toa povu; (fig) ~ing with rage kutazama kwa hasira; kufoka kwa hasira. foamy adj.