flux

n 1 mfululizo wa mabadiliko. 2 (sing only) mtiririko; mbubujiko. 3 dutu ya kurahisisha kuyeyusha vyuma.